1 Kings 5:11

11 anaye Solomoni akampa Hiramu kori 20,000
Kori 20,000 ni sawa na madebe 240,000.
za ngano kama chakula kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake, pamoja na mafuta safi ya zeituni yaliyokamuliwa bathi 20,000.
Bathi 20,000 ni sawa na madebe 200.
Solomoni aliendelea kumfanyia Hiramu hivyo mwaka baada ya mwaka.
Copyright information for SwhNEN